Siha na Maumbile: Tunaangazia ugonjwa wa Endometriosis

  • | Citizen TV
    195 views

    Katika Makala ya siha na maumbile hii leo tunaangazia ugonjwa wa endometriosis ambao licha ya kuwa umekithiri miongoni mwa wanawake, idadi kubwa ya wanaougua wamekosa kupata matibabu yanayostahili kwa kutoufahamu vyema. Daktari David Thuo anafafanua mengi kuhusu ugonjwa huu ambao pia umetajwa kuwa miongoni mwa sababu kuu zinazosababisha wanawake wengi kukosa kushika uja uzito.