Muonekano mpya kanisa kuu la Notre-Dame

  • | BBC Swahili
    518 views
    Tazama kanisa kuu la Notre-Dame lilivyokarabatiwa upya ikiwa ni baada ya kuteketezwa kwa moto mkubwa miaka mitano iliyopita Kanisa hilo linatarajiwa kufunguliwa tena Desemba 7. #bbcswahili #paris #kanisa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw