Familia ya mama mmoja bomet inalilia haki

  • | Citizen TV
    1,900 views

    Familia ya Mama mmoja mwenye umri wa miaka 21 kutoka kijiji cha Koiwa kaunti ya Bomet inalilia haki baada ya mama huyo kuaga dunia baada ya kujifungua katika hospitali ya Cheptalal. inadaiwa kuwa Mama huyo alivuja damu nyingi na kuhitaji huduma za dharura lakini hospitali hiyo ikakosa kumhamisha hadi hospitali ya Longisa kwa madai kuwa ambulenzi ilikosa betri na mafuta. Aron Kipkoech na maelezo zaidi.