Serikali yashauriwa kuweka sheria madhubuti za kuwaadhibu wanaotekeleza dhuluma za kijinsia

  • | KBC Video
    24 views

    Serikali imeshauriwa kuhakikisha kuna mfumo madhubuti wa sheria za kuwadhibu wanaotekeleza dhulma za kijinsia na mauaji ya wanawake. Akiongea kwenye kikao kwa wanawake, wadau walielezea wasiwasi kuhusu mtindo unaendelea wa kutojali kuhusiana na dhuluma za kijinsia katika jamii. Kulingana na Cate Kiama ambaye ni mkurugenzi wa mipango katika shirika la She’s the First, jitihada za pamoja zinahitajika katika kushughulikia visa vya mauaji ya wanawake na dhulma za kijinsia. Mwito huu unajiri huku kukiwa na shinikizo la kuchukua hatua za dharura kukomesha visa vya dhulma dhidi ya wanawake

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive