Seneta Karungo wa Thangw'a na Peter Mwathi kujiwasilisha katika makao makuu ya DCI hapo kesho

  • | K24 Video
    79 views

    Seneta wa kaunti ya Kiambu Karungo wa Thangw'a na mbunge wa zamani wa limuru, Peter Mwathi sasa watajiwasilisha katika makao makuu ya dci hapo kesho. hayo yamejiri baada ya wawili hao kujiwasilisha katika makao makuu ya DCI ya eneo la kati, mjini Nyeri baada ya kutakiwa kufika huko ijumaa wiki jana. Haya ni kufuatia vurugu iliyoshuhudiwa katika eneo bunge la Limuru katika hafla ya mazishi iliyohudhuriwa na naibu rais wa zamani rigathi Gachagua.