- 2,519 viewsRais Joe Biden katika ziara yake Afrika kusini mwa jangwa la Sahara aliahidi dola nyingine milioni 600 kwa mradi wa njia ya reli siku ya Jumatano. Aliwaambia viongozi wa bara la Afrika kuwa bara hilo limeachwa nyuma kwa muda mrefu sana. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Rais Biden asema Afrika kamwe haita wachwa nyuma tena
- - Duniani Leo ››
- 5 Feb 2025 - It may sound apocalyptic, but a newly detected asteroid nearly the size of a football field now has a greater than one percent chance of colliding with Earth in about eight years.
- 5 Feb 2025 - The US government's giant humanitarian agency USAID on Tuesday announced it was placing its staff in the United States and around the world on administrative leave as it moved to recall employees from overseas postings.
- 5 Feb 2025 - The UN Security Council gave the green light in October 2023 to the Multinational Security Support (MSS) mission designed to support Haiti's authorities in their fight against criminal gangs, which control swaths of the country.
- 5 Feb 2025 - Australia has banned DeepSeek from all government devices over concerns that the Chinese artificial intelligence startup poses security risks, the government said on Tuesday.
- 5 Feb 2025 - Spiritual leader of Ismaili Muslims and businessman the Aga Khan has died aged 88. According to a statement from the Aga Khan Development Network, the billionaire investor died peacefully surrounded by his family.
- 5 Feb 2025 - President Donald Trump's overhaul of U.S. foreign assistance has led to chaos in the aid and development field, leaving hundreds of contractors in a severe financial crunch with some already having to lay off staff and others facing millions of dollars…
- 5 Feb 2025 - China imposed targeted tariffs on American imports on Tuesday and put several U.S. companies, including Google, on notice for possible sanctions, in a measured response to the sweeping duties on Chinese imports imposed by President Donald Trump.
- 5 Feb 2025 - “He was an extraordinary leader who went beyond what seemed impossible to help the vulnerable through his charities” The post Ruto pays tribute to Aga Khan as an extraordinary leader first appeared on KBC.
- 5 Feb 2025 - It is still unclear the impact Donald Trump’s orders will have on the mission.
- 5 Feb 2025 - His Highness the Aga Khan died at the age of 88 in Lisbon, Portugal.