'Kwa kweli nimefurahi sana, tunahitaji mabadiliko, mabadiliko yamefika...'

  • | VOA Swahili
    406 views
    Uchaguzi Ghana: Wafuasi wa Mahama wakifurahia ushindi baada ya kiongozi wa chama tawala kukubali kushindwa Wafuasi wa Rais wa zamani wa Ghana John Mahama wakisherehekea mitaani Jumapili baada ya mpinzani wake mkuu, Makamu wa Rais Mahamudu Bawumia, kukubali kushindwa katika uchaguzi wa Jumamosi. Mwandishi wa VOA Paul Ndiho alizungumza na baadhi ya wafuasi nje ya ofisi za makao makuu ya chama cha Mahama. (Picha na Issah Ali) ⁣ #ghana #uchaguzi #habari #afrika #voaafrika