Hali ya utulivu mjini Damascus baada ya kupinduliwa Rais wa zamani Assad
Video zilizorekodiwa na ndege zisizokuwa na rubani katika mji mkuu wa Syria, Damascus, zinaonyesha kwamba shughuli zinaendelea kama kawaida.
Benki zimefunguliwa kwa mara ya kwanza tangu kuanguka kwa utawala wa Bashar al-assad, ikiwa ni hatua inayoashiria kurejea kwa hali ya kawaida nchini humo.
Video pia zinaonyesha maduka yakiwa yamefunguliwa, sawa na shughuli za ujenzi kuendelea. Usafi pia unaendelea mjini.
Hatua ya kupinduliwa kwa utawala wa Bashar imepelekea nchi kadhaa katika eneo hilo na nchi zenye ushawishi mkubwa duniani kuwa na wasiwasi kuhusu hali ya baadaye ya Syria baada ya waasi kuchukua udhibithi wa nchi.
Wakazi wa Damascus wameonekana wakifanya usafi huku wengine wakipiga picha karibu na gari la kijeshi, siku chache baada ya waasi kuudhibiti mji huo.
Wakazi wameelezea matumaini kwamba maisha yao yanakuwa sawa baada ya kuanguka kwa utawala wa rais Bashar al-Assad.
Baadhi yao wameonekana wakikanyaga picha ya rais aliyepinduliwa na kuyasifu mataifa yote ya kiarabu kwa ushindi huo.
Waziri mkuu wa Assad, Mohammed Jalali, amekubali kuachia madaraka kwa waasi. - Reuters
#syria #damascus #alassad #voa
19 Apr 2025
- Amin's comments followed days after the former DP raised alarm over alleged assassination attempts.
19 Apr 2025
- Obiri's date with history is on Monday, April 21.
19 Apr 2025
- The floods have since resulted in the displacement of more than 200 families.
19 Apr 2025
- Donald Trump's simmering discontent with the US Federal Reserve boiled over this week, with the president threatening to take the unprecedented step of ousting the head of the fiercely independent central bank.
19 Apr 2025
- Leaders in the Kenya Kwanza government have rallied the Maasai community in Kajiado to reject former Deputy President Rigathi Gachagua’s opposition politics, accusing him of peddling untruths.
19 Apr 2025
- Four people have been confirmed dead following a tragic road accident in the early hours of Saturday morning in Ruiru, Kiambu County.
19 Apr 2025
- U.S. strikes on Yemen's Ras Isa fuel terminal on the Red Sea coast have killed at least 74 people in the deadliest attack since the U.S. started its bombing campaign against the Houthis last year, according to the Houthi-run health ministry.
19 Apr 2025
- A section of leaders allied to President William Ruto have come out to strongly condemn former Deputy President Rigathi Gachagua over his sustained criticism of the Kenya Kwanza government. Speaking during an event hosted by Kajiado Woman…
19 Apr 2025
- CS Joho says several companies have violated the law by using mining permits instead of licences
19 Apr 2025
- Amin's comments followed days after the former DP raised alarm over alleged assassination attempts.
19 Apr 2025
- Chief Executive Officers (CEO) have raised concerns over the government’s over-reliance on the labour export programme to create jobs for unemployed people in the country. President William Ruto’s administration greatly championed the labour export…
19 Apr 2025
- Police are looking for another suspect escaped unhurt.
19 Apr 2025
- The defendants received sentences of up to 66 years.