Nairobi yakaribisha sherehe za Krismasi kwa mapambo na taa

  • | VOA Swahili
    179 views
    Wafanyabiashara wameanza kuupamba mji wa Nairobi kwa matayarisho ya sherehe za Krisimasi katika hatua ambayo vile vile inavutia wateja katika mji huo mkuu wa Nairobi. Nairobi yakaribisha sikukuu ya Krismas kwa mataa ya Kristmas Maduka yamepambwa kwa miti na taa za krismasi na idadi kubwa ya wakazi wa Nairobi waliohojiwa wanasema wanajitayarisha kwa sherehe za krismasi. Hatua ya kuurembesha mji wa Nairobi ni sehemu ya utamaduni ambao hufanyika kila msimu wa krismasi katika nchi za Afrika Mashariki. - Reuters #wafanyabiashara #kenya #mji #nairobi #kenya #krismasi #voa #voaswahili