'Baadhi ya watu waliniambia nimemtoa kafara mwanangu ili nipate pesa'

  • | BBC Swahili
    390 views
    Kwa miaka kumi na minane sasa @hildankabe anamlea mtoto wake Lukiza mwenye tatizo la usonji. Anasema tangu alipothibitishiwa na madaktari miaka 14 iliyopita alipokuwa nchini China kikazi, haikuwa rahisi kuikubali hali hiyo lakini alipiga moyo konde na kuikubali baada ya kufanya kutafiti kuhusu Usonji. Hilda Nkabe aNazungumza na@martha_saranga Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw #bbcswahili #bbcswahilileo #kenya #chan #adani #kizzabesigye