Polisi wawakabili waandamanaji kwa mabomu ya machozi wakipinga mauaji ya wanawake

  • | VOA Swahili
    444 views
    Polisi nchini Kenya wamewafyatulia mabomu ya machozi mamia ya waandamanaji wenye hasira wakipinga ukatili wanaofanyiwa wanawake na mauaiji ya wanawake. Polisi wamewakamata idadi isiyojulikana ya watu Jumanne. Waandamanaji waliokuwa wakipaza sauti “Zuieni Mauaji ya Wanawake” walitawanywa na polisi mjini Nairobi. Kenya inamlipuko wa kimya wa vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake. Polisi walisema mwezi Oktoba kuwa wanawake 97 walikuwa wameuwawa tangu mwezi Agosti na visa vingi vikiwahusisha wenza wao wanaume. - AP #Kenya #nairobi #waandamanaji #polisi #mabomu #machozi #mauaji #wanawake #wanaume