Rais Ruto Atoa Wito Kwa Juhudi Za Haraka Za Usajili Kwa SHA

  • | TV 47
    27 views

    Wananchi milioni 16.5 wamejisajili katika mamlaka ya afya ya jamii (SHA), wakiwemo watu milioni 5.6 waliovuka kutoka bima ya afya ya NHIF na wapya milioni 11 waliojiandikisha.

    Hata hivyo, kaunti mbalimbali zimetajwa kuwa na usajili wa juu na vilevile wa chini zaidi huku Rais William Ruto akiwahimiza wakenya kujisajili.

    #UpeoWaTV47 #JamhuriDay2024 #IndependenceDay

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __