Handisheki Ya Uwiano: Rais Ruto Awasifu Raila Na Uhuru Kama Wazalendo

  • | TV 47
    1,074 views

    Rais William Ruto amepigia debe salamau za maridhiano kati yake na Uhuru Kenyatta na aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga akiwataja kama wazalendo.

    Akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka sitini na moja tangu Kenya ipate uhuru, Rais alisema handisheki yake na Odinga iliwajumuisha wakenya wote serikalini.

    #UpeoWaTV47 #JamhuriDay2024 #IndependenceDay

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __