Mwigizaji Sarah Hassah Asifiwa Kwa Ubora Wake Wa Kuigiza Katika Maadhimisho ya Jamhuri

  • | TV 47
    83 views

    Rais William Ruto katika maadhimisho ya miaka sitini na moja ya Jamhuri ya Kenya amewapa tuzo mamia ya wakenya katika mchango wao wa ukuzaji wa taifa.

    Miongoni mwa waliopewa tuzo mbali mbali za kitaifa ni Mkuu Wa Majeshi Chalrse Kahariri, Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu, Inspekta Mkuu Wa Polisi Dougla Kanja, Mbunge Wa Molo Kimani Kuria na muigizaji Sarah Hassan.

    #UpeoWaTV47 #JamhuriDay2024 #IndependenceDay

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __