Mwanamuziki wa Bongo Flava Bushoke avunja ukimya katika Studio za VOA

  • | VOA Swahili
    494 views
    Mwanamuziki wa mkongwe wa Bongo Flava nchini Tanzania Ruta Max Bushoke ambaye amewahi kutamba na vibao mbali mbali kama vile Barua, mume Bwege, Dunia njia, Nalia kwa furaha na nyingine nyingi ametembelea studio zetu na kuzungumza na mwenzetu Sunday Shomari na anaanza kutaka kujua juu ya ukimya wake wa muda mrefu akiwa ametoa nyimbo yake ya mwisho mwaka mmoja uliopita akishirikiana na TID uitwao Chemistry. Tumsikilize... #maxbushoke #vibao #muziki #nyimbo #sundayshomari #bongoflava #voa #voaswahili