Mchekeshaji Massanja Mkandamizaji: '...mimi nimeongeza napiga miguu yote na kichwa...'

  • | VOA Swahili
    467 views
    Mchekeshaji maarufu kutoka nchini Tanzania, Askofu Emmanuel Mgaya wa Kanisa la Free Church Tanzania, al-maarufu kama Massanja Mkandamizaji, ametembelea Makao Makuu ya Sauti ya Amerika wiki hii ambapo alifanya mahojiano maalum na mwandishi wetu Sunday Shomari. Mchekeshaji Massanja Mkandamizaji anaeleza jinsi alivyojizatiti katika Standup Comedy... ⁣ #massanjamkandamizaji #mchekeshaji #askofu #emmanuelmgaya #tanzania #thecomedy #voa #voaswahili