Je viwango hivyo vya usalama wa Anga ni vipi?

  • | BBC Swahili
    677 views
    Ndege za shirika la Air Tanzania hivi karibuni ziliongezwa kwenye orodha ya mashirika ya ndege yaliyopigwa marufuku kufanya safari katika anga za Umoja wa Ulaya (EU) kufuatia wasiwasi wa kiusalama uliotolewa na Shirika la Usalama wa Anga la Umoja wa Ulaya (EASA). Hatua hii imefikiwa kwa mashirika ya ndege ambayo hayajafikia viwango vya kimataifa vya usalama. Je viwango hivyo vya usalama ni vipi? Tazama #bbcswahili #tanzania #airtanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw