Meli za mafuta za Urusi yapata ajali Bahari Nyeusi na kumwagika mafuta

  • | BBC Swahili
    2,556 views
    Video iliyotolewa na mamlaka ya Urusi inaonesha meli ya mafuta ya Urusi ikigawanyika katikati na kuzama katika Bahari Nyeusi huku kukiwa na dhoruba kali kuacha mikondo ya mafuta ikionekana katika maji. Maafisa wa Urusi wanasema vipande hivo viwili zimeharibiwa vibaya. Inaripotiwa kuwa mfanyakazi mmoja amefariki dunia. #bbcswahili #urusi #nishati Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw