Bajeti ya mwaka ujao wa kifedha yakadiriwa kugonga trilioni nne nukta mbili

  • | K24 Video
    27 views

    Bajeti ya mwaka ujao wa kifedha imekadiriwa kugonga trilioni nne nukta mbili. hofu sasa inahusu ushuru unaokadiriwa kukusanywa katika mwaka huo ambao ni shilingi trilioni tatu. wataalamu wa uchumi wanatoa onyo kwa wakenya wajiandae kuendelea kubebeshwa mzigo mzito zaidi wa ushuru. Mamlaka ya ushuru kra itawazawadi wakenya watakaotoa siri kwa wale wanaokwepa kulipa ushuru na zawadi hiyo inaweza kufika shilingi milioni tan