Wazazi wasalia katika hali ya suitafahamu kuhusu iwapo wanunue vitabu vya kitambo vya CBC

  • | K24 Video
    63 views

    Wazazi wamesalia katika hali ya suitafahamu kuhusu iwapo wanunue vitabu vya kitambo vya mfumo wa CBC kufuatia ukosefu wa vitabu vilivyotathminiwa upya. licha ya serikali kuapa kuwa vitabu vipya vya CBC vitawasilishwa ifikapo tarehe 15 mwezi huu, ahadi hiyo haijatimizwa huku wenye maduka ya vitabu wakisema hawajapokea vitabu vyote vinavyohitajika vya masomo ya gredi ya kwanza hadi ya ti