Je kuna mpango wa kuleta vichwa vya kutumia umeme na diseli SGR Tanzania?

  • | BBC Swahili
    908 views
    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa amefanya mahojiano maalum na BBC na kueleza mipango ya shirika hilo ya kuleta vichwa vipya chotara (hybrid) ambavyo zaidi ya nishati ya umeme, vitaweza kuendeshwa kwa mafuta ya dizeli endapo kutatokea hitilafu ya umeme. #bbcswahili #tanzania #sgr Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw