Wasichana 300 wahamasishwa dhidi ya dhuluma Kekonyokie na Suswa

  • | Citizen TV
    64 views

    Wasichana 300 wa umri kati ya miaka 10-20 kutoka wadi za Kekonyokie na Suswa kaunti ya Narok wamepokea mafunzo ya hamasisho  kwa siku mbili kama njia moja ya kuwalinda dhidi ya dhuluma.