Mahakama kuu yasikiliza kesi ya kutimuliwa kwa gavana wa Meru

  • | Citizen TV
    2,041 views

    Mahakama Kuu inatarajiwa kutoa uamuzi wake iwapo itaidhinisha maagizo ya kuzuia kung'olewa madarakani kwa Gavana wa Meru, Kawira Mwangaza au la