Maafisa 200 wa usalama wapewa mafunzo maalum Narok

  • | Citizen TV
    244 views

    Maafisa 200 kutoka vitengo tofauti vya usalama Kaunti ya Narok wamepokea mafunzo maalum ya wiki moja kukabili mbinu fiche za wawindaji haramu ikiwemo elimu ya sayansi ya kutambua uhalifu .