Wakazi wa kijiji cha Kîmurî, Mwea, waendelea kusikitishwa kwa kukosa umeme mashambani

  • | NTV Video
    43 views

    Wakazi wa kijiji cha Kîmurî eneo bunge la Mwea, wameelezea kusikitishwa kwao na kukwama kwa mradi wa usambazaji umeme uliozinduliwa na Mamlaka ya Umeme Vijijini na mashambani. Miezi minne iliyopita, viongozi wa eneo hilo akiwemo Mbunge wa Mwea Mary Maingi, pamoja na maafisa wa REREC, walizindua mradi wa usambazaji wa umeme katika eneo hilo, lakini WAKAZI bado WAnasubiri uunganisho wa usambazajiw a taifa. taarifa HII IMEANDALIWA NA RIPOTA WETU ASHLEY ATIENO NA KUTIWA SAUTI NA mimi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya