"Eti ng'ombe watashindwa kunyamba? ambao tumechanjwa hatunyambi?"

  • | BBC Swahili
    235 views
    Rais William Ruto amewataka watu wanaopinga mpango wa chanjo ya mifugo uliopangwa kuanza Januari, 2025 kuacha kueneza propaganda.. Rais Ruto amesema kuwa mpango huo utaimarisha wakulima ili kuendana na viwango vya kimataifa wakati wa kuuza bidhaa za nyama na ngozi nje ya nchi. #bbcswahili #kenya #chanjoyawanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw