Siku Za Waliowachache Zimeadhimishwa Kwa Mara Ya Pili Kaunti Ya Nairobi

  • | TV 47
    21 views

    Siku Za Waliowachache Zimeadhimishwa Kwa Mara Ya Pili Kaunti Ya Nairobi

    Kwa mara ya pili sherehe za jamii za walio wachache zimeadhimishwa nchini katika Kaunti Ya Nairobi.

    Waziri Wa Utalii Rebbeca Miano akihudhuria hafla hiyo aliambatana na viongozi mbali mbali serikalini huku wakisisitiza kuwa serikali inajizatiti kutekeleza haki za walio wachache kulingana na kipengee 56 cha katiba.

    #CBCEngagement #KICD #CBC #UpeoWaTV47 #TV47DailyReport

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __