Kuna wasiwasi mkubwa kuhusu uhaba wa damu nchini

  • | Citizen TV
    243 views

    Huku hofu ikitanda kuhusu upungufu wa damu katika hospitali nyingi nchini, idadi ya wagonjwa wanaohitaji damu inazidi kuongezeka. Hospitali ya shalina ikishirikiana na shirika la msalaba mwekundu imeanzisha mpango wa utoaji wa damu kote nchini ili kujaribu kukabili changamoto hiyo.