Wakaazi wa Kirinyaga waonywa dhidi ya kula nyama kiholela

  • | Citizen TV
    425 views

    Polisi katika eneo la Mwea kaunti ya Kirinyaga wanawasaka washukiwa wa wizi wa punda, baada ya punda watano kuibwa usiku wa kuamkia leo na kupatikana wamechinjwa. Punda hao walipatikana karibu na kanisa moja huku wakaazi wakishuku punda hao wanaibwa kwa biashara.