Magari 10 yanaswa Kisumu kwenye msako wa NTSA

  • | Citizen TV
    800 views

    Magari kadhaa yamezuiliwa kwa kukiuka kanuni za barabarani wakati wa msako ulioongozwa na mamlaka ya NTSA. Kwa mujibu wa meneja wa mamlaka hiyo eneo la Kisumu Isaac Sitati, madereva wengi walikuwa wanaendesha kwa mwendo usiostahiki na kuongeza athari ya ajali.