Shirika la KFS latapatapa kujibu maswali ya leseni ya msitu wa Ngong

  • | Citizen TV
    372 views

    Shirika la huduma za misitu nchini KFS imekuwa mbioni kuzima ghadhabu za wakenya kufuatia ripoti za unyakuzi wa sehemu za msitu wa Ngong. Licha ya kukiri makosa ya kutoa leseni maalum, shirika hilo bado limeonekana kukwepa maswala makuu kuhusu ujenzi wa mkahawa na kiwanja cha gofu ndani ya msitu huo