'Watu walijua ni Muafrika Kusini anaimba kiswahili'

  • | BBC Swahili
    172 views
    'Rekodi yangu ya kwanza ya live ilipotoka, watu walijua ni Muafrika Kusini anaimba kiswahili, ilikuwa nzuri sana' John Lisu @johnlisu ni mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania anayeheshimika kwa uimbaji na utumbuizaji wa majukwaani. Amekuwa akitoa huduma ya kiroho kupitia nyimbo za injili kwa takribani miaka 31. @johnlisu anatajwa kuwa miongoni mwa waanzilishi wa muziki wa injili majukwaani nchini Tanzania. Je alianzaje? hapa anafafanua #bbcswahili #tanzania #nyotawaafrikamashariki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw