Kaunti ya Kwale yazindua kitengo maalum hosptalini Msambweni

  • | KBC Video
    8 views

    Kaunti ya Kwale imepiga hatua kubwa katika utoaji huduma za matibabu baada ya kuzindua kitengo cha kuwatunza watoto wachanga katika hospitali ya matibabu maalum ya Msambweni. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kitengo hicho, gavana wa Kwale, Fatuma Achani aliangazia umuhimu wa kitengo hicho katika kushughulikia masaibu yanayokumba watoto wanaozaliwa katika kaunti hiyo. Ushirikiano hao kati ya wakfu wa M-Pesa na serikali ya kaunti ya Kwale unanuiwa kutoa huduma maaalum za matibabu kwa watoto wachanga hasa wale wanaozaliwa kabla ya muda wao ambao wanahitaji malezi maalum.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News