Wahisani wanusuru familia kutoka uchochole Nakuru

  • | KBC Video
    29 views

    Ilikuwa krismasi ya mapema kwa familia moja katika eneo la Bahati kaunti ya Nakuru baada ya mhisani kubadili maisha yao. Familia hiyo ilikuwa ikiishi maisha ya uchochole katika nyumba ndogo ya matope. Hata hivyo kundi la wahisani la J-127 limejengea familia hiyo ya Jacinta Wangari nyumba nzuri yenye vyumba vitatu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News