Kaunti ya busia yaanza kujenga madarasa ya mianzi

  • | Citizen TV
    141 views

    Kama mojawapo ya njia za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ikiwemo mafuriko, ujenzi wa vyumba vya kipekee kwa kutumia mianzi umenzishwa katika eneo bunge la Budalangi kaunti ya Busia. Shule ya msingi ya Rugunga iliyoko Bunyala kusini imekuwa ya kwanza kupata darasa hilo lililojengwa kwa mianzi, shule hiyo ikiwa ni miongoni mwa shule 14 Budalangi ambazo huathirika pakubwa na mafuriko....