DRC yazishtaki Ufaransa na Ubelgiji dhidi ya Apple

  • | BBC Swahili
    249 views
    "Shughuli hizi zimechochea vurugu na migogoro kwa kufadhili wanamgambo na vikundi vya kigaidi na zimechangia utumikishwaji wa watoto na uharibifu wa mazingira," Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) iliwasilisha malalamiko ya uhalifu nchini Ufaransa na Ubelgiji dhidi ya kampuni tanzu za Apple, ikiituhumu kampuni kubwa ya teknolojia kutumia madini yanayotoka maeneo ya migogoro. Je madini hayo ni yapi? @scolar_kisanga anaelezea #bbcswahili #aple #DRC Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw