Wavuvi 1,000 huko Faza kaunti ya Lamu wapewa vifaa

  • | Citizen TV
    66 views

    Wavuvi zaidi ya 1,000 kutoka Wadi ya Faza wamenufaika na vifaa vya uvuvi kutoka shirika la NRT kwa lengo la kuimarisha sekta hiyo kaunti ya Lamu.