Muungano wa watumishi wa umma wapinga ubinafsishaji

  • | Citizen TV
    173 views

    Muungano wa Watumishi wa Umma wa Kenya (UKCS) umeendesha kampeni ya kuhamasisha umma kuhusu athari za ubinafsishaji wa maji kupitia Ushirikiano wa Sekta ya Umma na Binafsi (PPPs) ulioanzishwa na serikali ya kitaifa.