Wajane wapewa matibabu ya bure na chakula huko Mundeku

  • | Citizen TV
    102 views

    Wajane katika eneo la mundeku huko butere kaunti ya kakamega, wamepata krismasi ya mapema kwa kupewa huduma za matibabu na chakula .