Hospitali ya Kisima kaunti ya Samburu yakabidhiwa ambulensi

  • | Citizen TV
    76 views

    Huduma za afya katika hospitali ndogo ya kisima Samburu Magharibi zimepigwa jeki kufuatia kukabidhiwa Kwa ambulensi Kwa usimamizi wa hospitali hiyo kutoka wizara ya afya. Mwakilishi wa kike Kaunti hiyo Pauline Lenguris,ambaye ni Mwanachama wa kamati ya afya akiongoza hafla hiyo amesema hatua itasaidia katika kushughulikia visa vya dharura hasa akina mama wanapojifungua.