Shabiki.com yazindua mpango wa kusherehekea Krismasi

  • | Citizen TV
    133 views

    Ni Rasmi kuwa shabiki.com imezindua mpango wa kusherehekea krismasi wa "shabikia Krisi na Shabiki.com" ambapo kwa kila shilingi 99 za mchezo huo , unaweza ukajishindia kuku na mbuzi wa Krismasi.