Serikali imeanza awamu nyingine ya kusambaza mbolea

  • | Citizen TV
    160 views

    Serikali imeanzisha mchakato mwingine tena wa kusambaza mbolea ya bei nafuu kwa wakulima kwa maandalizi ya msimu wa kupanda mwakani.