Naibu Rais Kindiki Atimiza Ahadi Na Kununulia Mchungaji Evans Gari Aliloahidi Kanisani La JPP

  • | TV 47
    1,026 views

    Mwezi mmoja tu baada ya Naibu Rais Kithure Kindiki kuhudhuria ibada ya kwanza ya shukrani katika kanisa la Jesus Palace Of Praise JPP Mwatate tangu kuapishwa kwake kuwa naibu wa rais, ahadi yake ya kununua gari la Mchungaji Evans Kiju kwa kanisa hilo imetimia baada ya gari alilonunua kuwasilishwa rasmi na Mwakilishi Wa Kike Wa Kaunti Ya Taita Taveta Lydia Haika.

    #TV47Matukio

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __