Msafara wa sambaza furaha na Safaricom wawaacha wengi na furaha

  • | Citizen TV
    240 views

    Sambaza furaha na safaricom kampuni ya mawasiliano iliwapa msisimko wateja nchini msafara wa kuwazadi wateja umewaacha wengi na furaha msafara ulizunguka kaunti tofauti kwa ushirikiano na rms