Toleo La 2 La Mashindano Ya Elachi Super Cup Yatamatika

  • | TV 47
    24 views

    Toleo La 2 La Mashindano Ya Elachi Super Cup Yatamatika

    Mashindano ya soka ya Beatrice Elachi Super Cup Toleo La Pili yalimalizika mapema wiki iliyopita katika Shule Ya Upili Ya Wasichana Ya Lavington, jijini Nairobi.

    Mashindano hayo yalishuhudia timu za classic na team red zikimenyana katika fainali hiyo huku Classic FC ikiibuka na ushindi dhidi ya team red. mshindi alishinda kitita cha shilingi elfu mia moja huku mshinde akitwaa shilingi elfu sabini.

    #TV47Matukio

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __