Limuru: Mwanaume amuua mkewe kabla ya kujitia kitanzi

  • | NTV Video
    3,124 views

    Wingu la maombolezo limetanda katika kijiji cha Kamandura eneo bunge la Limuru kaunti ya Kiambu kufuatia kisa cha kusikitisha ambapo mwanaume wa makamo alimvamia na kumuua mkewe kabla ya kujitia kitanzi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya