Wizara ya usalama yakemea vikali matamshi ya Gachagua kuhusu pombe haramu

  • | NTV Video
    4,862 views

    Wizara ya usalama wa kitaifa imekemea vikali matamshi ya aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua kwamba serikali kimakusudi inalenga eneo la Mlima Kenya kwa pombe haramu na ghushi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya