Wazazi Waombwa Kuwajibikia Malezi Ya Wana Wao Katika Uzinduzi Wa Chat Box

  • | TV 47
    25 views

    Wazazi Waombwa Kuwajibikia Malezi Ya Wana Wao Katika Uzinduzi Wa Chat Box

    Mkurugenzi Mkuu Wa Masuala Ya Watoto katika Wizara Ya Masuala Ya Jamii Judy Tunda ameomba wazazi kuwa karibu na wanao ili waweze kukabili baadhi ya changamoto wanazozipitia.

    Tunda aliyasema haya alipomwakilisha katibu katika wizara hiyo Joseph Montari kwenye hafla ya uzindu wa roboti gumzo marufu kama buddy chat box, aina ya mbinu ya mawasiliano itakayotumiwa na vijana kutoa hisia zao

    #TV47Matukio

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __