Mamlaka ya ukusanyaji ushuru yaongeza ushuru kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje.

  • | K24 Video
    64 views

    Takriban wiki moja baada ya Rais William Ruto kutia saini sheria mpya ya ushuru, mamlaka ya ukusanyaji ushuru (KRA) hii leo imeongeza ushuru kwa bidhaa za zinazoagizwa kutoka nje. mabadiliko hayo yanatarajiwa kuanza kutekelezwa rasmi tarehe ishirini na saba mwezi huu. Mamlaka hiyo pia imeongeza ushuru kwa matangazo ya michezo ya kamari nchini.