Aliyevamia watu kwa gari soko la Christmas Ujerumani ni nani

  • | BBC Swahili
    979 views
    Mwanaume mmoja kutoka Saudi Arabia amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuvamia kwa gari katika soko la Krismasi nchini Ujerumani na kusababisha vifo vya watu watano na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa. Mshukiwa huyo ambaye ni daktari ametajwa kwa jina la Taleb al-Abdulmohsen. #bbcswahili #ujerumani #shambulizi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw